TANGAZO LA KUJIUNGA NA CHUO

WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2018/19

Mkurugenzi wa Chuo Cha Kilimo Kizimbani Zanzibar anawatangazia wale wote walioomba kujiunga na chuo katika mwaka wa masomo 2018/2019 kuwa majina yao tayari. Wale wote walioomba wanaombwa watembelee website ya Chuo www.kati.ac.tz au watembelee mbao za matangazo Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Maruhubi, Chuo Cha Kilimo Kizimbani, kwa upande wa Pemba wafike Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Weni-Wete.

Kwa wale wote waliochaguliwa na Chuo wanaombwa kufika chuoni Kizimbani kuanzia tarehe 23 Julai, 2018 ofisi ya Mrajisi kwa kuja kuchukua Barua za kujiunga na Chuo (Admission), kwa Pemba wafike Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Weni – Wete. Tarehe ya mwisho ya kwenda kuchukua Barua za kujiunga na Chuo (Admission) ni tarehe 17 August, 2018.

Ahsanteni

Selected Applicants 2018/19

Kwa maelezo zaidi fika Chuo cha Kilimo Kizimbani au wasiliana nasi kwa email info@kati.ac.tz

Ahsanteni